Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
9:37 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 15

Ligi daraja la pili wilaya ya Mjini imeedelea ndani ya uwanja wa Amani kwa kuchezwa mtanange kati ya West coast na Kidongochekundu na mchezo huo kumalizika kwa sare ya bila kufungana.

 

kikosi cha kidongochekundu baada ya mechi wakiwa na machofu.

Katika mchezo huo kila timu ilikuwa ina hamu ya kutaka kuondoka na ushindi lakini hadi mpira huo ulipomaliza timu hizo ziliweza kugawana alama baada ya kutokufungana.

... Read more »
Views: 166 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Na Abubakar Kisandu.

Kocha wa makipa wa timu ya KMKM Salum Ali “Chulas” haamini kama mlinda mlango wake wa zamani Mudathir Khamis kuwa kiwango kimeshuka kwa sababu hajacheza mechi hata moja alipokuwa Yanga mwanzoni mwa msimu huu kabla ya kumuwacha na kujinga na Mgambo Shooting.

... Read more »

Views: 323 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

The Santiago Bernabeu limeshakuwa mwenyeji wa fainali za kombe la Copa Del Rey mara 13 tangu mwaka 1976-77, wakati lilipobafilishwa jina kutoka kuwa Copa del Generalisimo, fainali 4 kati ya hizo zilifanyika chininya utawala wa Florentino Perez.


Hakuna fainali hata moja kati ya hizo 4 chini ya Perez ambayo iliihusisha Barcelona. Fainali mbili kati hizo ziliihusisha Real Madrid na zilizobaki zilihusisha timu za Zaragoza, Osasuna, Betis na Espanyol. Chama cha soka cha Spain na baadhi ya wadau wanataka fainali ya msimu huu ifanyike Santiago Bernabeu ... Read more »

Views: 149 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa ya kupigwa kwa mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la Mwanaspoti nchini, Mwanahiba Richard na kiungo wa timu ya Simba SC Mwinyi Kazimoto mjini Shinyanga.

Kufuatia kitendo hicho kilichotok ... Read more »

Views: 204 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeipongeza timu ya African Lyon FC ya jijini Dar es salaam kwa kufanikiwa kupanda ligi kuu ya Vodacom (VPL) msimu ujao, baada ya kuwa vinara wa Kundi A katika ligi hiyo iliyomalizika jana.

African Lyon imeungana na timu ya Ruvu Shooting FC ya Mlandizi mkoa wa Pwani iliyokua timu ya kwa ... Read more »

Views: 157 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Nje ya uwanja chanzo chetu cha kuaminika kimebaini kuwa viongozi wa timu ya Geita Gold Sports, walitoa kiasi cha shilingi milioni 6 za kitanzania kwa viongozi na benchi la ufundi la timu ya JKT Kanembwa kwa ajili ya kupanga matokeo ya mchezo wa Februari 13 kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.

... Read more »

Views: 208 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Golikipa wa Azam FC Aishi Manula ameibuka chimbo na kuachia ujumbe mrefu ‘waraka’ kupitia account yake ya facebook baada ya jana kufungwa goli la aina yake dhidi ya Coastal Union kwenye uwanja wa Mkwakwani.

Ujumbe wa Manula ambao aliuachia jana usiku mara b ... Read more »

Views: 189 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (1)

Ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja itaendelea leo hii kwa kuanzwa kuchezwa mchezo wa mzunguko wa pili kati ya timu ya KVZ na Mtende, mchezo ambao utachezwa majira ya saa kumi 10:00 za jioni ndani ya dimba la Amani mjini Zanzibar.

Mchezo huo utakuwa ni wa raundi ya kumi na sita (16) ambapo KVZ wataingia uwanjani wakiwa nafasi ya sita (6) na alama ishirini 20,huku wakiwa wameshacheza michezo kumi na tatu (13), wameshinda michezo sita (6), wamepoteza michezo mitano (5) na sare michezo miwili (2).

... Read more »

Views: 211 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

 

Huyu ndo kijana anaitwa Moses Said kutoka Musoma mjini mkoani Mara ni mchezaji wa kupigiwa mfano namba yoyote kwake ni rahisi kucheza na akakuburudisha roho kasoro golini tu.

lakini ili umfaidi hasa achezeshwe nafasi ya kiungo cha kati 6,8,10.

... Read more »

Views: 173 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

 

Walimu wa Michezo katika Wilaya ya Micheweni wametakiwa kuandaa michezo yenye kwendana na maadili na utamaduni wa mzanzibar .

 

Kauli hiyo imetolewa na Afisa Elimu na Mafunzo ya Amali Wilaya ya Micheweni mwl Mbwana Shame Said wakati akizungumza na walimu hao kwenye kituo cha uwalim ... Read more »

Views: 139 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

 

Wachezaji wakali na viapaji bora vya wachezaji ndani ya nchi vitapatikana na kuonekana endapo tu kama wadau wa soka na hata matajiri na serikali kwa ujumla watatupia jicho lao kwa wachezaji wadogowadogo.

 

... Read more »
Views: 199 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

 

Vipaji,viwango vya hali ya juu ni hivi hapa lakini leo hii sijui kwanini vinasahaulika kabisa.

 

... Read more »

Views: 215 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Mandozi Sports Academy Mwanza ni moja katika ya Academy bora za mafundisho ya soka kwa vijana hapa nchini,inawalimu bora wa soka na vijana bora wanaojitahidi katika soka.

 

Mandozi Sports ... Read more »

Views: 338 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Timu ya Chelsea ilitoana jasho na Newcastle United katika mechi ya wiki ya 26 ya EPLiliyochezwa katika uwanja wa Stamford Bridge.

Chelsea yaondoka na pointi 3 baada ya ushindi mnene dhidi ya Newcastle United

... Read more »

Views: 149 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Ligi kuu ya soka ya La Liga nchini Uhispania iliwakutanisha Real Madrid na Atletico Bilbao kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu.

Kocha wa Real Madrid Zinadine Zidane aliendeleza r ... Read more »

Views: 157 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Wiki ya 26 ya ligi kuu ya soka ya EPL nchini Uingereza ilitamatishwa kwa mechi kali ya kusisimua kati ya Manchester City na Tottenham Hotspur iliyochezwa uwanjani Etihad.

Manchester City iliyoyumba wiki iliyopita, iliendelea kusambaratika nyumbani kwa kushindwa kupata pointi.

... Read more »

Views: 142 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

Timu ya Liverpool ilipambana na Aston Villa kwenye mechi ya wiki ya 26 ya ligi kuu ya soka ya EPL nchini Uingereza.

Liverpool yaondoka na pointi 3 ugenini baada ya kuinyeshea Aston Villa mvua ya magoli

... Read more »

Views: 149 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

 

Na Abdullatif Omar Famau.

Naam kabla hatujaona kitu gani kilijiri katika mkutano mkuu kwanza tuangalie matukio kadhaa ambayo nimeyaambatanisha na picha hizo hapo chini. Baada ya Coast Asili kufanyiwa hila nyingi za kunyimwa card na viongozi kuwatumia baadhi ya mashabiki na wanachama wao wapya kupinga wengine wasipewe card, kundi la coast Asili lilianza mikakati ya kuusakama uongozi juu ya utendaji wake pia kundi hili lilijenga upinzani mkubwa ndani ya club hii liliamua kuanzisha maskani mpya ya uwanjani pindi club ikich ... Read more »

Views: 363 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

 

Na Abdullatif Omar Famau.

Kama tulivyoona sehemu ya kwanza kundi la coast Asili limeanza harakati za kudai kadi za uanachama na uongozi unakataa kutoa kadi kwa sababu zisomsingi huku wakigawa kadi kwa watu wengine hata sio wapenzi wa coast...

Jambo hili kwakweli lilianza kuutafuna umoja wa Coastal union, sina hakika kama uongozi ulikuwa unajua nini unachokifanya na zipi zitakuwa ni athari zake kwa kuwaga ... Read more »

Views: 251 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)

 

Na Abdullatif Omar Famau.

Najaribu kuandika makala haya lengo ni k ... Read more »

Views: 297 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.15.2016 | Comments (0)


Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz