Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
9:11 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 15 » MUDATHIR WA MGAMBO ATABIRIWA MAKUBWA NA KOCHA WAKE WA ZAMANI.
6:37 PM
MUDATHIR WA MGAMBO ATABIRIWA MAKUBWA NA KOCHA WAKE WA ZAMANI.

Na Abubakar Kisandu.

Kocha wa makipa wa timu ya KMKM Salum Ali “Chulas” haamini kama mlinda mlango wake wa zamani Mudathir Khamis kuwa kiwango kimeshuka kwa sababu hajacheza mechi hata moja alipokuwa Yanga mwanzoni mwa msimu huu kabla ya kumuwacha na kujinga na Mgambo Shooting.

 

“ Mimi siwezi kukubali kuwa kiwango cha Muda kimekufa, alipokuwa Yanga hajapata nafasi kwasababu wapo Makipa bora, lakini sasaivi atangara tu akiwa na Mgambo Shooting”.

 

Wakati huo huo kocha wake huyo wa zamani pia anaamini Mudathir huwenda akaja kuchezea tena timu kubwa za Tanzania ikiwemo Yanga alipoachwa na mwisho wake hadi kudakia Taifa Stars.

 

“ Timu kubwa za Tanzania zitamuhitaji tu baadae Mudathir, hasa awo Yanga walomuacha kwasababu ni hodari na hata siku moja atakuwa Tanzania one ndani ya timu ya Taifa”. Alisema Salum ambae pia aliwahi kuwa mlinda mlango wa Malindi, KMKM na Zanzibar Heroes.

Mudathir tayari ameshanza kuidakia timu yake mpya ya Mgambo Shooting michezo kadhaa ambapo hata katika mchezo uliopigwa February 3 mwaka huu alikaa yeye langoni walipopigwa 5-1 na Simba kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara ambapo akionekanwa matumaini yakufanya vizuri yanafufuka kufuatia kuwa kama mzigo mzunguko wa kwanza alipokuwa akikipiga Yanga tofauti alipochukuliwa kwa shangwe akiwa kipa namba moja katika klabu ya KMKM.

Views: 323 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz