Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
9:23 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 15 » HIKI NI KIPAJI NCHINI.
8:26 AM
HIKI NI KIPAJI NCHINI.

 

Huyu ndo kijana anaitwa Moses Said kutoka Musoma mjini mkoani Mara ni mchezaji wa kupigiwa mfano namba yoyote kwake ni rahisi kucheza na akakuburudisha roho kasoro golini tu.

lakini ili umfaidi hasa achezeshwe nafasi ya kiungo cha kati 6,8,10.

Mbali na kuwa mkabaji mzuri na mchezesha timu kijana huyu ana sifa za kufunga akitokea sehemu ya kiungo.

Umri wake ni miaka 17 tu mbali na kucheza kikosi cha vijana cha Yanga msimu huu katika ligi daraja la kwanza lakini pia amesajiliwa na timu ya polisi Mara ambapo alisajiliwa dirisha dogo na kucheza jumla ya mechi 4 hadi sasa na kufunga magoli 3 na kuifanya polisi kutopoteza mchezo wowote hadi sasa.

 

Views: 173 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz