Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
10:50 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 2
Guests: 2
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 15 » Mandozi Sports Academy :tunahitaji nguvu zenu wadau.
8:04 AM
Mandozi Sports Academy :tunahitaji nguvu zenu wadau.

Mandozi Sports Academy Mwanza ni moja katika ya Academy bora za mafundisho ya soka kwa vijana hapa nchini,inawalimu bora wa soka na vijana bora wanaojitahidi katika soka.

 

Mandozi Sports Academy inahitaji wadau na wanachama katika kushirikiana kukuza kwa pamoja Academy hiyo.

 

Pia katika mchango wa kukuza na kuboresha , mawazo yako ni muhimu kwa Academy hiyo na yanatakikana.

 

Tumia accnt ya fb kwa kutafuta jina la …Armando Phili , ni miongoni mwa wakuu wa Academy ili kuwasiliana nae kwa maelezo, au tutafute kupitia

 

email:mandozisportsacademy@Yahoo.com 
Au simu nambari 0785464461

 

Na website yetu ipo katika matengenezo na maboroshe ya mwisho na itakua tayari hivi karibuni.

 

Tunahitaji wadau na tunathamini sana mawazo yako,tunaomba jitokezeni tupige hatua kisoka nchini.

 

SHIRIKIANA NASI KATIKA KUKUZA SOKA NCHINI TANZANIA

Views: 339 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz