Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
5:17 PM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 15 » Manchester City yapoteza pointi nyumbani kwa wiki ya pili.
6:53 AM
Manchester City yapoteza pointi nyumbani kwa wiki ya pili.

Wiki ya 26 ya ligi kuu ya soka ya EPL nchini Uingereza ilitamatishwa kwa mechi kali ya kusisimua kati ya Manchester City na Tottenham Hotspur iliyochezwa uwanjani Etihad.

Manchester City iliyoyumba wiki iliyopita, iliendelea kusambaratika nyumbani kwa kushindwa kupata pointi.

Tottenham Hotspur yazidi kukomaa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania taji la EPL

Wageni Tottenham Hotspur walionyesha mchezo mzuri na kufanikiwa kuondoka na pointi 3 baada ya kuilaza Manchester City 2-1.

Tottenham Hotspur ilitangulia kufunga goli la kwanza kwa mkwaju wa penalty kupitia Harry Kane katika dakika ya 54 kabla ya Iheanacho kusawazisha katika dakika ya 74.

Eriksen aliiletea ushindi Tottenham Hotspur baada ya kupachika goli la pili katika dakika ya 83.

Views: 143 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz