Home
Sign Up
Log In
Tuesday
06.24.2025
2:52 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 15 » Zidane azidi kupeta na Real Madrid kwenye mechi za nyumbani
7:46 AM
Zidane azidi kupeta na Real Madrid kwenye mechi za nyumbani

Ligi kuu ya soka ya La Liga nchini Uhispania iliwakutanisha Real Madrid na Atletico Bilbao kwenye uwanja wa Santiago Bernabeu.

Kocha wa Real Madrid Zinadine Zidane aliendeleza rekodi yake ya kutoshindwa nyumbani na kuhakikisha timu yake inapata ushindi na pointi 3.

Real Madrid iliweza kushinda mechi hiyo 4-2 baada ya kufungiwa magoli yake na Ronaldo (dakika ya 3 na 87), Rodriguez (dakika ya 37) na Kroos (dakika ya 45).

Wageni Atletico Bilbao nao walifunguwa magoli yao na Eraso (dakika ya 11) na Elustondo (dakika ya 90).

Wakati huo huo, Real Madrid walilazimika kumaliza mechi hiyo wakiwa wachezaji 10 baada ya Varane kuonyeshwa kadi nyekundu iliyojumuisha kadi mbili za njano katika dakika ya 83.

Views: 158 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz