Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
9:34 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 15 » Wadau muko wapi?
8:09 AM
Wadau muko wapi?

 

Vipaji,viwango vya hali ya juu ni hivi hapa lakini leo hii sijui kwanini vinasahaulika kabisa.

 

Hizi ndio nuru za baabae. Academy ziko wapi za kuwaenzi na kuwatunza vijana kama hawa,unafikiri watoto kama hawa wakitunzwa nini kitafuata baadae au ndio tuendelee kununua tu kutoka nje na tuache kuzalisha vyetu wenyewe. Nilazima tuviendeleze vipaji vya watoto ili na wao waweze kua wachezaji bora duniani.

 

Hawa ni wachezaji mahiri wa Mpendae city katika kiwango cha Juvenile,kushoto ni Ahmed Abudu na kulia ni Mukrim Khatib, wakiwa katika uwanja Wa Amani mjini Zanzibar.

Views: 215 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz