Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
10:21 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 16

Mara baada ya majigambo ya msemaji wa Black sailors ya kusema kuwa watashinda katika mechi yao kati ya Polisi hatimae wakubali kutoka sare katika mchezo huo.

 

Timu ya Black sailors na Polisi leo zimeshindwa kutambiana katika mchezo wa muendelezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja,baada ya kutoka sare ya bila kufungana.Katika mchezo huo timu zote zilionekana kutafuta alama tatu muhimu katka ligi hiyo.

Black sailors iliyovalia jezi rangi nyeusi na Polisi imevalia jezi rangi nyeupe.

Kocha wa timu ya kikosi cha Polisi Ali Suleiman Mtuli amesema kuwa, hawakutakiwa kutoka sare katika mchezo huo ila  walitakiwa washinde lakini ameongez ... Read more »

Views: 147 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

Hatimae timu ya Kwaalinato United imeigaragarisha timu ya Fc Dira kwa kuichapa kichapo cha magoli matatu bila bila ya hata goli la kufutia machozi.

Mchezo huo ni katika muendelezo wa ligi za daraja la tatu,ambapo mchezo huo ulianza katika hali ya kawaida na kila mmoja kufanya mashambulizi kwa goli la mwenzake.

... Read more »

Views: 251 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

KUELEKEA MCHEZO WA LIGI KUU YA ZANZIBAR KANDA YA UNGUJA.

Msemaji wa timu ya Black sailors Abubakar Khatib Haji (kisandu) akitoa majigambo yake kabla ya mechi yao watakayokutana na Polisi katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja.

Mchezo huo ambao utakuwa ni wa mzunguko wa pili ambao ni wa lala salama katika ligi hiyo, timu ya Back sailors a ... Read more »

Views: 285 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

Kutokana na utafiti maalum niliyoufanya kanda ya unguja (mjini) na baadhi ya mashamba kwa mtazamo wa harakaharaka nimefanikisha kujua kuwa Zanzibar kuna vipaji vingi na vikubwa lakini tatizo liliyopo ni uhaba wa juhudi za kuviendeleza na kuvitunza.
Views: 202 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

 
Chama cha Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFA) na wadau wengine mbalimbali nchini wametakiwa kuongeza juhudi zaidi katika kuhakik ... Read more »
Views: 271 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

Mkali wa mpira wa kikapu kutoka Marekani Kobe Bryant, alicheza mechi yake ya NBA All Star kwa mara mwisho iliyoandaliwa mjini Toronto nchini Canada.

Nyota wa Los Angeles Lakers Kobe Br ... Read more »

Views: 170 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

 

Moja ya story kubwa sasa hivi kwenye soka ni kuhusu penati ya Messi kwenye mechi dhdi ya Celta Vigo. Penati ile ambayo Messi amempasia mpira na Suarez akafunga inasemekana ilikua ni ya Suarez.

Kwenye video inaonyesha jinsi Neymar alivyoenda kuiomba kwa Messi mar ... Read more »

Views: 207 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

Muendelezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja leo itaendelea kwa kupigwa mchezo mmoja ndani ya dimba la Amani ambapo timu iliyopanda daraja msimu huu ya Black sailor imekuwa tishio kubwa kwa vilabu mbalimbali vya ligi kuu hapa Zanzibar.

Black sailor watamenyana na Polisi mchezo ambao utachezwa saa kumi 10 za jioni, katika mchezo huo timu zote zitaingia dimbani zikiwa na zimeshacheza michezo kumi na tatu (13).

Timu ya Polisi a ... Read more »

Views: 242 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)

Timu ya KVZ,  imeanza vyema katika mzunguko wake wa pili baada ya kuicharaza Mtende mabao 2-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja uliosukumwa jana jioni ndani ya dimba la Amani mjini Zanzibar.

Katika mchezo huo mchezaji Abdillah Seif Bausi alianza kuipatia KVZ bao la kwanza ndani ya dakika ya 26 baada ya kuupiga mpira wa adhabu nje ya 18 iliyotokana na mchezaji wa Mtende Ali Mwinyi kumfanyia madhambi mchezaji wa KVZ Abbas Abdallah, na bao la pili liliwekwa kimyani na mchezaji Emill Willium mnamo dakika ya 58 ya mchezo huo.

KVZ waliwahi kukutana ... Read more »

Views: 171 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.16.2016 | Comments (0)


Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz