Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
10:54 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 2
Guests: 2
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 14

 

KLABU ya Azam itakuwa nje ya uwanja wake wa nyumbani ‘Azam Complex’ kwa takribani mwezi mmoja ikicheza mechi za ugenini. Akizungumza na gazeti hili jana msemaji wa Azam, Jaffa Idd alisema mchezo wa mwisho kwa Azam kucheza nyumbani ni ule dhidi ya Mwadui Februari 7 ambapo ilishinda bao 1-0.

... Read more »

Views: 186 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

TIMU ya soka ya Mafunzo ya Zanzibar jana ilianza vibaya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa AS Vita ya Congo DR.

Tangu mwanzo wa kipindi cha kwanza cha mechi hiyo Mafunzo ilionekana kuelemewa karibu kila idara na kuruhusu wageni kutamba kana kwamba wanacheza nyumbani. Vita ilipata bao lake la kwanza katika dakika ya tano ya mchezo huo kupitia kwa Ikanga Mayimona baada ya kuunganisha mpira wa adhabu uliopigwa na Benard Morrison.

Mwamuzi wa mchezo huo aliamu ... Read more »

Views: 177 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

 

TIMU ya soka ya Simba jana ilikwea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara baada ya kuifunga Stand United mabao 2-1 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanja wa Kambarage Shinyanga.

Matokeo hayo yanaifanya Simba iongoze ligi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kw ... Read more »

Views: 212 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

 

WAWAKILISHI wa Tanzania Bara katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga wameanza vizuri michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0, dhidi ya Cercle de Joachim ya Mauritius katika mechi iliyochezwa jana.

Bao pekee la Yanga katika mchezo huo wa ha ... Read more »

Views: 175 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

 

 

Baada ya jana kushuhudia mechi tano za Vodacom Premier League zikipigwa kwenye viwanja tofauti vya Tanzania bara, leo tena mbio za ligi hiyo zitaendelea kwa michezo miwili itakayozikutanisha ... Read more »

Views: 242 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

 

Kwa upande wa Manchester City nahodha wao Vincent Kompany amepona na yuko tayari kwa mchezo wa leo. Kompany alikuwa akiuguza majeraha yake tangu Boxing Day alipopata majeraha ya nyama za nyuma ya ugoko.

... Read more »

Views: 196 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

 

Simba jana ilipata ushindi wake wa pi mbele ya Stand United ya mkoani Shinyanga kwenye pambano ambalo lilipigwa Kambarage. Ushindi huo ulikuwa ni wa pili kati ya mara nne ambazo timu hizo zimekutana kwenye michezo ya ligi tangu Stand ipande daraja msimu uliopita.

... Read more »

Views: 223 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

 

Shirikisho la soka nchini Nigeria (Nigeria Football Federation) liliwahi kuzisimamisha timu nne ambazo zilihusika kwenye scandal ya upangaji matokeo baada ya timu mbili za ligi ya chini ambazo zilikuwa zinahitaji kupanda daraja huku zikihitaji ushindi wa tofauti ya magoli na zikashinda mechi zao kwa bao 79-0 na 67-0. Hiyo ilikuwa ni miaka mitatu iliyopita (July 10, 2013).

... Read more »

Views: 222 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

Kikosi cha Yanga kilitua jana nchini Mauritius kwa ajili ya mechi yao ya kimataifa ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya timu ya Cercle de Joachim ya nchini humo mchezo wa raundi ya awali.

Yanga watacheza leo mchezo huo kisha kukwea pipa na kutimkia kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujifua kuwakabili watani zao wa jadi Simba SC mchezo utakaopi ... Read more »

Views: 192 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)

Danni Welbeck ambaye alikuwa anacheza mechi yake ya kwanza tangu Aprili mwaka uliopita ameifungia Arsenal bao la pili na la ushindi dhidi ya vinara wa ligi kuu ya Uingereza Leicester.

Welbeck alimhakikishia Wenger ushindi huo muhimu uliotamatisha msururu wa mechi 16 bila kushindwa wa kocha Claudio Ranieri.

Mchezaji mwengine wa akiba Theo Walcot ndiye aliyekuwa ameisawazishia Arsenal kunako dakika ya 70 ya kipindi cha pili.


Michezo mitano inapigwa leo kwenye ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, macho n ... Read more »

Views: 245 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.14.2016 | Comments (0)


Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz