Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
11:28 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 14 » PICHA 5 YANGA WAKIWA KWENYE MITAA YA MAURITIUS
7:49 PM
PICHA 5 YANGA WAKIWA KWENYE MITAA YA MAURITIUS

Kikosi cha Yanga kilitua jana nchini Mauritius kwa ajili ya mechi yao ya kimataifa ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya timu ya Cercle de Joachim ya nchini humo mchezo wa raundi ya awali.

Yanga watacheza leo mchezo huo kisha kukwea pipa na kutimkia kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi ya kujifua kuwakabili watani zao wa jadi Simba SC mchezo utakaopigwa February 20 kwenye uwanja wa taifa.

Vijana wa Jangwani wameonekana kwenye mitaa ya Mauritius wakiwa na furaha huku wakipiga picha kwa ajili ya kumbukumbu zao za baadae.

chanzo:shaffih dauda.

Views: 193 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz