
Katika Afrika ya Kati kulikuwa na Mechi ya Ligi ya Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo nyasi za Uwanja wa Frederic Kibassa Maliba mjini Lubumbashi zilikuwa zinawakutanisha wafalme wa Ligi ya Mabingwa Afrika TP Mazembe dhidi ya FC Saint Eloi Lupopo lakini hakuna aliyeliona lango la mweziye ijapokuwa ... Read more »