Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
11:34 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 18 » Thomas Emmanuel Ulimwengu aotea
2:11 PM
Thomas Emmanuel Ulimwengu aotea

Katika Afrika ya Kati kulikuwa na Mechi ya Ligi ya Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambapo nyasi za Uwanja wa Frederic Kibassa Maliba mjini Lubumbashi zilikuwa zinawakutanisha wafalme wa Ligi ya Mabingwa Afrika TP Mazembe dhidi ya FC Saint Eloi Lupopo lakini hakuna aliyeliona lango la mweziye ijapokuwa Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Thomas Emmanuel Ulimwengu alitikisa nyavu kwa Kichwa lakini kumbe alikuwa tayari ameotea.

TP Mazembe sasa wanachangamsha misuli kujiandaa na mechi ya Super Cup ya Afrika dhidi ya Etoile du Sahel ya Tunisia mabingwa wa Kombe la Shirikisho.

Views: 163 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz