Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
9:43 PM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 19

 

Wakati ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja ikiendelea kuchanja mbuga ndani ya dimba la Amani visiwani Zanzibar, leo utachezwa mchezo kati ya KMKM na timu ya Kipanga majira ya saa kumi za jioni.

 

KMKM wataingia uwanjani wakiwa nafasi yay a sita (6) na alama ishirini (20), wakati Kipanga wao wataingia uwanjani wakiwa nafasi ya kumi (10) na alama kumi na sita (16).

Views: 188 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.19.2016 | Comments (0)

 

Refarii mmoja nchini Argentina amepigwa risasi na kuuawa na mchezaji aliyemuonesha kadi nyekundu uwanjani katika mechi ya daraja la pili....


Refarii huyo Cesar Flores alikuwa akisimamia mechi baina ya timu zinazoshiriki ligi ya daraja la chini mjini Cordoba, takriban kilomita 700 Kaskazini mwa Buenos Aires.

Polisi wameanzisha msako mkali kumtafuta mchezaji huyo ambaye hadi sasa hajatajwa.


Refarii Flores alimuonesha kadi nyekundu mchezaji huyo na akaondoka uwanjani kama iliv ... Read more »

Views: 170 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.19.2016 | Comments (0)

 

Manchester United walijikwaa katika juhudi zao za kufana Ulaya baada ya kushindwa ugenini na klabu ndogo kutoka Denmark katika Europa League....


United walichapwa mabao 2-1 na timu ndogo ya Midtjylland.

Klabu hiyo ya Old Trafford pia ilipata pigo baada ya kipa wake namba moja David de Gea kuumia kifundo cha mguu wakati akipasha mwili moto na nafasi yake kuchukuliwa na Kipa wa Argentina Sergio Romero.

 

Man Utd walitangulia kufunga kupitia Memphis Dep ... Read more »

Views: 199 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.19.2016 | Comments (0)

Ligi kuu ya Tanzania bara itaendelea tena hapo kesho kwa jumla ya michezo sita kuchezwa.

Macho na masikio ya wapenda soka yatakua yakisubiri kwa hamu Dabi ya kariakoo kati ya Wekundu wa msimbazi Simba Sport Klabu, dhidi ya timu ya wananchi Dar Young Afrikans Yanga, mchezo utakaopigwa kw ... Read more »

Views: 303 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.19.2016 | Comments (0)

 

Timu ya Jeshi la kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) na Mafunzo jana zimeshindwa kutambiana katika mchezo wa muendelezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja, baada ya kutoka sare ya bila kufungana katika mtanangde ambao uliosukumwa ndani ya dimba la Amani mjini Zanzibar.

Katika mchezo huo uliokuwa na hamasa za mashabiki kiwanjani hapo timu zote zilionekana kucheza mpira wa hali ya juu kwa kufanya mashambulizi, lakini timu zote zilionekana k...uwa imara kwenye safu yao ya ulizi kwa kipindi chote kwa kutokuruhusu bao kuweza kupenya kwenye lango lao.

... Read more »
Views: 220 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.19.2016 | Comments (0)


Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz