
Wakati ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja ikiendelea kuchanja mbuga ndani ya dimba la Amani visiwani Zanzibar, leo utachezwa mchezo kati ya KMKM na timu ya Kipanga majira ya saa kumi za jioni.
KMKM wataingia uwanjani wakiwa nafasi yay a sita (6) na alama ishirini (20), wakati Kipanga wao wataingia uwanjani wakiwa nafasi ya kumi (10) na alama kumi na sita (16).
|