Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
12:10 PM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 21

 

Huyu ni Khamisi Iddi mchezaji hatari kwa nyavu, anatisha akiwepo mchezoni.

Ni mchezaji wa timu ya New Flamingo Academy, ana umri wa miaka 13 anaishi Dar es Salam Mburahati.

... Read more »
Views: 258 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.21.2016 | Comments (0)

 
Views: 316 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.21.2016 | Comments (0)

 
Mchezi Nyota na Kiungo mshambuliaji Tiote Sefu wa timu ya Miemben City daraja la pili taifa jezi nambari 24 mgongoni amese ... Read more »
Views: 264 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.21.2016 | Comments (0)

 

ILIKUWA Agosti 26,1979 wakati timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilipokuwa ikirudiana na timu ya soka ya Taifa ya Zambia katika mechi ya michuano ya kuwania kufuzu kucheza fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika za mwaka 1980 zilizofanyika nchini Nigeria katika Pambano hilo lilichezwa mjini Ndola.

... Read more »

Views: 580 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.21.2016 | Comments (0)

 

1970-1976
Tukiangalia kwa makini historia ya soka la Tanzania kuanzia mwaka 1970 hadi 1976 inaelezwa ndiko walipokuwapo washambuliaji wakali walioweza kufanya vema katika timu zao na ile ya Taifa, hao wanaongozwa na Gibson Sembuli, Adam Sabu, Kitwana Manara, Abdallah Kibaden, Jumanne Hassan ‘Masimenti’ na wengine ambao waliweza kutoa changamoto ya soka nchini.

Hawa waliweza kufanya vizuri kutokana na vitu vingi, ikiwemo utayari wao kwa mchezo wa soka. Pia ni kipindi ambacho wachezaji walipatikana kutoka mashuleni na mitaani.

Kwa mfano Sembuli aliweza kufanya vizuri kutokana na uwezo binafsi wa kumiliki mpira, kutekeleza kile alichokuwa anaelezwa na kocha kila wakati awapo uwanjani, mwili uliojengeka vema kimichezo kuweza kuhimil ... Read more »

Views: 407 | Added by: salminjsalmin | Date: 02.21.2016 | Comments (0)


Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz