Home
Sign Up
Log In
Tuesday
06.24.2025
5:03 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 21 » TUNAKOSA MUELEKEO SABABU YA VIONGOZI
12:12 PM
TUNAKOSA MUELEKEO SABABU YA VIONGOZI
 
Mchezi Nyota na Kiungo mshambuliaji Tiote Sefu wa timu ya Miemben City daraja la pili taifa jezi nambari 24 mgongoni amesema kua Soka la Zenji kila siku zinaposonga mbele linachelewa kukua akisema hali hiyo inachangiwa na baadhi ya viongozi walio wengi katika ulingo wa michezo kushikilia nafasi za uongozi wa michezo wakati ni tofauti na fani walizosomea au walizonazo.
Ameyasema hayo leo wakati alipokua akizungumza na mwanamichezo wako Salma Hassan mjini Zaznibar juu ya maendeleo ya soka la Zenji pamoja na changamoto mbalimbali zinazowakabili wanamichezo hususan wachezaji wa mpira wa miguu.
Amesema wachezaji wanajitahidi kwa kadiri iwezekanavyo ingawa wapo baadhi yao hawanajitihada za hali ya juu lakini wengi wao wana sifa ya juhudi na kujituma bali matumaini yao hukatika pale wanapoamuliwa mambo na viongozi wao kinyumenyume.
Tiote amesema viongozi kama hao wapo katika daraja zote za michezo visiwani Zanzibar halia ambayo imekua ikiwapoteza katika malengo baadhi ya wachezaji na hatimae kukata tamaa juu ya yale waliyoyapangilia kuyafikia.
Akitaja moja kati ya changamoto hizo amesema viongozi wengi katika kila upande wa wadau wa michezo si watu wampira ni wabaishaji na wapo kwa kujivutia maslah yao binafsi hivyo hawababaishwi na maamuzi yoyote watakayoyachukua.
“hata ZFA kama wangekua na mipangilio mizuri basi tungekua tuna zungumzwa vyengine Zanzbar”alisema Tiote.
Alipoulizwa na mwanamichezo wako Salma Hassan kua yeye binafsi anauwezo gani anapokua uwanjani akisakata kabumbua alijibu kwa kusema “mimi kama mimi kwanza nina uwezo wa kupiga finishng pas then naweza kuswich mpira popote pale na mguu wowote ule na ukazaa matunda mazuri”alisema Tiote.
Kwa upande mwengi mwanamichezo wako alitaka kufahamu kupitia suala lake nini kifanyike kukuza soka la Zenj pamoja na ushauri kwa wachezaji, Tiote alijibu kwa kusema “wacheza wenzangu nawashauri kua, ya juu wasiyashughulikie, wapo watu maalum wa kuyashuhulikia pia wakomae hivyo hivyo kwa kuzidishe jitihada ili kukuza kipaji” alisema Tiote.
Amemalizia kwa ushauri pia kwa viongozi wa timu na mamlaka husika katika swafu ya michezo kuzingatia uongozi kwani ndio unaweza kusababisha timu na wachezaji kuwa wazuri au kinyume chake.
Views: 265 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz