Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
1:08 PM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 20 » TUTAZAME NA MICHEZO MENGINE INAUMUHIMU NCHINI.
2:30 PM
TUTAZAME NA MICHEZO MENGINE INAUMUHIMU NCHINI.

 

Serikali na wadau wa michezo nchini Tanzania hasa Zanzibar wametakiwa kutolalia upande mmoja tu kunua na kuendeleza kwa kasi michezo na badala yake wameshauriwa kuangalia kila kona ya michezo inayochezwa nchini.

 

Kauli hiyo imetolea leo hii na mchezaji wa mchezo wa karati Hashim Mohammed maarufu Fund Hashim wakati alipokua akizungumza na mwanamichezo wako Salma Hassan mjini Zanzibar.

 

Amesema mchezo wa karati ni mchezo muhimu sana katika nchi na ni mchezo unaopendwa sana na unamashabiki wengi lakini umekua ni tofauti kimuonekana na michezo mengine kama mpira wa miguu nchini Zanzibar.

 

Fund Hashim amesema yeye anauthamini sana mchezo huo kwakua ni mzuri katika kujenga afya ya kiwiliwili na saikolojia ya akili na maetoa wito kwa vijana nchini kujiunga na mchezo huo ili kujiweka sawa katika hali ya ulinzi na kiusalma.

 

Akijibu suala la mwanamichezo huyo kuhusu malengo yake juu ya mchezo huo amesema amesema "malengo yangu nikufiki katika kiwango cha juu na hatimae nishiriki katika mashindano ambayo yataniletea sifa mimi mwenyewe na kuliwakilisha vyema taifa langu ndani na nje ya nchi kwani uwezo ninao na nazidi kujiweka sawa"

 

Akizidi kuelezea malengo yake amesema kubwa zaidi anatarajia kupokea mafunzo vizuri kutoka kwa walimu wake ili baadae aweze kuwa mwalimu mzuri kwa wanafunzi katika siku za usoni.

 

Aidha amezungumzia changamoto iliyopo mbele yake ambapo amesema pasingekuwepo na uchaguzi wa marejeo basi muda huu angekua ameshavaa mkanda wa “Green Orange” kwani alikua yupo katika mtihani ili kuvishwa mkanda huo lakini kutokana na kuwepo uchaguzi chuo hicho kufungwa na kubakia na kiwango cha shot kan karate.

 

Fund Hashim ni mchezaji mzuri wa karati na anauwezo mzuri katika upiganaji huo,anajifunza kupitia chuo cha Amani Moden Kar

Views: 224 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz