Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
9:37 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 17 » RONALDO AKERWA NA SWALI
8:38 AM
RONALDO AKERWA NA SWALI

 

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo ameondoka kwa hasira katika katika chumba cha mahojiano baada ya kuulizwa juu ya rekodi ya ufungaji magoli katika mechi za ugenini msimu huu.

 

Ronaldo mwenye miaka 31, amefunga magoli 32 msimu huu lakini hajafunga nje tangu mwezi Novemba."Nani mwingine amefunga magoli mengi ugenini kuliko mimi tangu nimekuja Hispania? Aliuliza Ronaldo mfungaji namba moja wa Championzi Ligi"Taja mchezaji mmoja ambaye amefunga kuliko mimi. Hakuna jibu? Sawa. Asante" Akaondoka.

 

Ronaldo alikuwa akiongea na wanahabari kabla ya mechi ya Jumatano ya Real Madrid dhidi ya Roma katika Stadio Olimpico Mwezi Disemba, mreno huyo alikuwa mchezaji wa kwanza kufunga magoli 10 katika mchuano wa makundi.

Goli lake la 11 ni la ugenini lakini hajafunga katika mechi nne za ugenini.

Views: 204 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz