Home
Sign Up
Log In
Monday
06.23.2025
10:18 AM
Welcome Guest | RSS

            SALMA SPORTS MEDIA


    PATA HABARI MOTOMOTO ZA MICHEZO NDANI NA NJE YA

NCHI. 

                                                                                                                 TANGAZA NASI



WASILIANA NASI KUPITIA +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678 043 812; email: salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gmail.com



Site menu

Our poll
Rate my site
Total of answers: 3

Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0

  
Home » 2016 » February » 17 » JE? WATOTO WA JANG’OMBE WATAYARUDISHA MABAO YA MZUNGUKO WA KWANZA?
7:18 AM
JE? WATOTO WA JANG’OMBE WATAYARUDISHA MABAO YA MZUNGUKO WA KWANZA?

Mshikemshike wa ligi kuu soka visiwani Zanzibar kanda ya Unguja, leo ukiendelea katika kiwanja cha Amani kwa mzunguko wake wa pili ambao ni wa lala salama, Jang’ombe boys watamenyana na Timu ya Kimbunga leo jioni ndani ya dimba la Amani.

Katika mchezo wa awali walipokutana Jang’ombe walikubali kufungwa na Kimbunga mabao 2-1, mchezo ambao Jang’ombe walikuwa ugenini.

Timu ya Jang’ombe wataingia uwanjani wakiwa na alama kumi na sita (16), nafasi ya nane (8),wakiwa wameshacheza michezo kumi na mbili (12), huku wakiwa na mchezo wao mmoja wa kiporo.

Wakati Kimbunga wao wataingia uwanjani wakiwa washacheza michezo kumi na tatu (13), wapo nafasi ya kumi (10), na alama zao ni kumi na nne (14).

Je? Leo Jang’ombe boys watalipiza kisasi hicho wakiwa katika uwanja wa nyumbani?

Views: 173 | Added by: salminjsalmin | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
avatar

Visitors
idadi ya watembeleaji
Idadi ya watembeleaji

WATEMBELEAJI

Entries archive

Salma Sport Media © 2025
uCoz