Jang’ombe wameshacheza mechi kumi na tatu (13), waataingia dimbani wakiwa nafasi ya kumi (10) na alama (16), huku wakiw...a wameshinda michezo minne (4), wamepoteza mitano (5) na sare michezo minne (4), na wapinzani wao Kipanga wao wapo nafasi ya kumi na moja (11), wamecheza mechi kumi na nne (14), wameshinda mitatu (3), wamepoteza michezo minne (4), michezo saba (7) wametoka sare na wana alama kumi na sita (16). ... Read more » |
Pep Guardiola ana mtihani mzito wa kuendelea kuipa uhai ndoto yake ya kumaliza utawala wake na Bayern Munich kwa kushinda ubingwa wa ulaya.
... Read more » |
Arsenal leo wanatarajiwa kuwa wenyeji wa Barcelona katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya 16 bora kesho kabla ya kurudiana nao tena Camp Nou Machi 16 mwaka huu. ... Read more » |
Msafara wa watu 17 wa mchezo wa Judo Zanzibar umeondoka visiwani Zanzibar mchana wa jana na kuelekea Tanzania bara ambapo leo moja kwa moja wataanza kwenda mjini Bunjubura nchini Burundi katika mashindano ya Afrika Mashariki ya mchezo huo wa Judo.
![]()
...
Read more »
|
Siku chache baada ya Simba kupokea kichapo cha bao 2-0 kutoka kwa Yanga kwenye mchezo wa VPL, kocha wa timu ya Simba Jackson Mayanja amefunguka na kusema kilichosababisha timu yake kushindwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya wapinzani wao kwenye soka la Bongo. ... Read more » |
Mamia ya wananchi na wanamichezo visiwani Pemba jana walikishiriki katika mazishi ya aliyewa kuwa Kaimu katibu Msaidizi wa ZFA Taifa Pemba Marehemu Abdalla Suleiman Sharrif aliyefariki dunia ghafla juzi majira ya saaa saba za mchana.
![]()
...
Read more »
|